Naibu Waziri wa Afya wa Zanzibar atembelea Banda la DSFA
Naibu Waziri wa Afya wa Zanzibar atembelea Banda la DSFA
Imewekwa: 06 July, 2024

Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh akipata maelezo juu ya uvuvi wa bahari kuu kutoka kwa Afisa Udhibiti Nd. Juma Omar Haji akisindikizwa na Mkurugenzi Utumishi na Utawala Bi. Marry Mwangisa baada ya kutembelea banda la Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam.