Dira na Dhima
Dira na Dhima
DIRA
‘‘Kuwa na uvuvi mahiri katika Ukanda Maalum wa Uchumi
wa Bahari unaokidhi mahitaji ya kitaifa na kikanda ya kizazi
cha sasa na kijacho’’.
DHIMA
“Kuendeleza, kusimamia, kuhifadhi na kutumia kwa
uendelevu rasilimali za uvuvi katika Ukanda Maalum wa
Uchumi wa Bahari kwa ukuaji wa kiuchumi na kijamii”.