Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu

(DSFA)

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu (DSFA) ni Taasisi ya Umma iliyopewa jukumu la kukuza, kudhibiti, na kusimamia rasilimali za uvuvi katika Ukanda wa Kiuchumi  (EEZ) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Tanzania Bara na  Zanzibar) ambao uko zaidi ya maili 12 za eneo la majini bah...
Meli za uvuvi za kigeni na za kitaifa zinaruhusiwa kufanya shughuli za uvuvi katika EEZ ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (URT) mradi tu zinakidhi vigezo na masharti ya leseni ya uvuvi iliyoainishwa katika sheria inayoongoza shughuli za uvuvi katika EEZ. Idara za Uvuvi zinasimamia shughuli za uvuvi...
Meli za uvuvi za kigeni na za kitaifa zinaruhusiwa kufanya shughuli za uvuvi katika EEZ ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (URT) mradi tu zinakidhi vigezo na masharti ya leseni ya uvuvi iliyoainishwa katika sheria inayoongoza shughuli za uvuvi katika EEZ. Idara za Uvuvi zinasimamia shughuli za uvuvi...
EEZ ya URT inashughulikia eneo la 223,000 km2 katika Bahari ya Hindi. Ukanda wa pwani wa maji ya bahari ya URT una urefu wa kilomita 1,424
Kuna aina sita za mbinu za uvuvi zinazoruhusiwa kuvuna tuna kwa mujibu wa Kanuni za DSFMD, 2021 ambazo ni uvuvi wa  mshipi mkubwa, uvuvi wa nyavu za kuzungusha, uvuvi wa upondo na mshipi, uvuvi wa jarife, uvuvi wa nyavu za kukokota, na uvuvi wa zurumati (Ona pia #3 hapo juu).
Tanzania kwa sasa inahimiza uvuvi wa bahari kuu, hivyo kuweka miundombinu muhimu na mazingira mengine kama vile: Serikali inajenga bandari ya uvuvi Kilwa Masoko, Vifaa vya kuhifadhi baridi, Kufundisha mabaharia Motisha ambazo zitajumuisha tozo ya mafuta, uingizaji wa vifaa vya mitambo ya...
Hii inafanywa kwa mujibu wa Sheria na Kanuni za DSFMD ikijumuisha: Barua ya kibali kutoka kwa DSFA Hakuna historia ya uvuvi haramu, usioripotiwa na usiodhibitiwa (IUU); Ni mali ya kampuni iliyosajiliwa Tanzania na raia wa Tanzania mwenye hisa 50+ Faida ya kifedha inayojulikana Meli laz...
 Inahimizwa sana kupitia ubia na mikataba ya ukodishaji na wakala wa serikali (ZAFICO, TAFICO, nk) na wawekezaji binafsi.
Inategemea mahitaji ya soko lengwa la bidhaa. Hivi sasa, Idara ya Uvuvi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndiyo mamlaka yenye uwezo wa kudhibiti ubora wa samaki na mazao ya samaki ambayo yanatoa idhini kwa masoko ya EU, Marekani, Asia na Afrika.
Tanzania ni mwanachama wa IMO, ILO, na FAO na imetia saini mikataba yote muhimu ya kimataifa kwa ajili ya usalama wa meli za uvuvi na wafanyakazi wao baharini.
Mrejesho, Malalamiko au Wazo