Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi cheti cha udhamini na ushiriki wa Tamasha la Kizimkazi Mkurugenzi Mkuu wa DSFA Dkt. Emmanuel A. Sweke akiwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdalla Ulega
Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Mhe. Shaaban A. Othman akisalimiana na watumishi wa DSFA baada ya kufanya ziara katika ofisi za DSFA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu Dkt. Sweke akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu (Uvuvi) wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Edwin Mhede katika ofisi za Mamlaka huko Fumba
Mwenyekiti wa Kikao cha Kamati Tendaji ya DSFA Prof. Riziki Shemdoe akiwa katika picha na Mkurugenzi Mkuu wa DSFA Dkt. Emmanuel Sweke pamoja na wajumbe wa kamati hiyo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Shemdoe akiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa warsha ya wadau kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa majaribio ya ufutiliaji wa kielektroniki wa meli za uvuvi Nchini
Picha ya pamoja ya wajumbe wa Kamati ya Kitaalam ya Ushauri ya DSFA pamoja na watumishi wa DSFA