Misingi mikuu
Misingi mikuu
MISINGI YETU
Katika kutekeleza majukumu yetu, DSFA itazingatia
msingi wa maadili ifuatayo:-
- Uadilifu: Tunatoa huduma zetu kwa viwango vya juu vya maadili, na kanuni za maadili na heshima.
- Hisani: Tunatoa huduma zetu katika mazingira rafiki.
- Uwajibikaji na Wajibu: Tunawajibika kwa matendo yetu katika utoaji wa huduma zetu.
- Kujali Mahitaji ya Wateja: Tunatoa huduma kwa kutanguliza mahitaji na matarajio ya wateja wetu.
- Mwelekeo wa Matokeo: Tunajitahidi kutimiza malengo yanayotarajiwa katika nyanja zote.
- Uwazi: Tunashirikishana kwa uwazi kuhusu taarifa muhimu na kutoa maoni ya haraka kwa wateja wetu.
- Bila upendeleo: Tunatoa huduma zetu kwa haki.