Mkutano wa wadau wa sekta ya uvuvi kuhusu kutoa maoni juu ya andiko la kuiomba Tanzania kuridhia mkataba wa UNFSA 1995
Mkutano wa wadau wa sekta ya uvuvi kuhusu kutoa maoni juu ya andiko la kuiomba Tanzania kuridhia mkataba wa UNFSA 1995
Mkutano wa wadau wa sekta ya uvuvi uliofanyika tarehe 16 April 2025 katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar jengo la ZURA kuhusu kutoa maoni juu ya andiko la kuiomba Serikali ya Tanzania kuridhia mkataba wa UNFSA wa mwaka 1995.