Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu

(DSFA)

Ujio wa Mhe. raisi wa Msumbiji kutembelea DSFA

08 May, 2025 - 10 May, 2025
08:00:00 - 17:00:00
Fumba - Zanzibar
dsfa.authority@gmail.com

Rais wa Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo kutembelea Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu (DSFA) siku ya tarehe 09/05/2025

Ujio wa Mhe. raisi wa Msumbiji kutembelea DSFA
Mrejesho, Malalamiko au Wazo