Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu

(DSFA)

Je, kuna uwezekano gani wa ushirikiano na washikadau wenyeji, kama vile serikali, jumuiya za mitaa, wavuvi wa ndani, na wachakataji samaki?

 Inahimizwa sana kupitia ubia na mikataba ya ukodishaji na wakala wa serikali (ZAFICO, TAFICO, nk) na wawekezaji binafsi.

Mrejesho, Malalamiko au Wazo