Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu

(DSFA)

Je, ni hatari gani zinazoweza kuhusishwa na uvuvi nchini Tanzania, kama vile changamoto za kimazingira, migogoro ya matumizi ya rasilimali na mabadiliko ya tabianchi?

Bado hakuna hatari zinazoweza kutokea, lakini kuna amani, nia njema ya kisiasa, na mazingira rafiki kwa uwekezaji. Hata hivyo, mabadiliko ya hali ya hewa ni suala mtambuka ambalo huenda likaathiri uvuvi wa kimataifa.

 

Mrejesho, Malalamiko au Wazo