Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu

(DSFA)

Je, ni mbinu gani za jadi za uvuvi zinazotumika katika kanda na ni mbinu gani bora za uvuvi endelevu zinazopaswa kuzingatiwa katika mradi huo?

Kuna aina sita za mbinu za uvuvi zinazoruhusiwa kuvuna tuna kwa mujibu wa Kanuni za DSFMD, 2021 ambazo ni uvuvi wa  mshipi mkubwa, uvuvi wa nyavu za kuzungusha, uvuvi wa upondo na mshipi, uvuvi wa jarife, uvuvi wa nyavu za kukokota, na uvuvi wa zurumati (Ona pia #3 hapo juu).

Mrejesho, Malalamiko au Wazo