Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu ni nini?
Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu ni nini?
Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu (DSFA) ni Taasisi ya Umma iliyopewa jukumu la kukuza, kudhibiti, na kusimamia rasilimali za uvuvi katika Ukanda wa Kiuchumi (EEZ) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Tanzania Bara na Zanzibar) ambao uko zaidi ya maili 12 za eneo la majini baharini.