Kikao cha Kamati Tendaji ya DSFA
Kikao cha Kamati Tendaji ya DSFA
Imewekwa: 12 June, 2024
Kikao cha 21 cha Kamati Tendaji ya Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu kikiongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo Prof. Riziki Shemdoe ambae pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifufgo na Uvuvi kilichofanyika tarehe 10/06/2024 katika Hotel ya AURA Suites huko jijini Dar es Salam.