Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu

(DSFA)

Warsha ya Wadau kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa majaribio ya ufutatiliaji wa kielektroniki wa meli za uvuvi Nchini Tanzania

Imewekwa: 29 May, 2024
Warsha ya Wadau kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa majaribio ya ufutatiliaji wa kielektroniki wa meli za uvuvi Nchini Tanzania

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki S. Shemdoe amefungua Warsha ya siku mbili ya Wadau kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa majaribio ya ufutatiliaji wa kielektroniki wa meli za uvuvi Nchini Tanzania. Warsha hiyo imewashirikisha wadau kutoka taasisi mbali mbali za Serikali pamoja na sekta binafsi, warsha hii imeendeshwa na kusimamiwa na Malaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu (DSFA) na USAID Heshimu Bahari. Warsha hii imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Protea Courtyard jijini Dar es salam.

Mrejesho, Malalamiko au Wazo