Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo zatembelea DSFA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo zatembelea DSFA
Imewekwa: 17 November, 2024
![Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo zatembelea DSFA](https://www.dsfa.go.tz/uploads/news/b3de8163022b97714f8abd3449fc4f1b.jpeg)
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikiongozwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdalla Hamis Ulega, ilitembelea Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu (DSFA) na kujifunza mambo mbalimbali juu ya majukumu na kazi zinazofanywa na DSFA. Aidha, Mkurugenzi Mkuu wa DSFA Dkt. Emmanuel A. Sweke alieleza juu ya mafanikio na matarajio ya Mamlaka katika kuengeza pato la serikali mbali na kutegemea na pato linalopatikana kwa ukataji wa leseni za melii za uvuvi wa bahari kuu.