ZIARA YA DR. EDWIN MHEDE, NAIBU KATIBU MKUU (UVUVI) KATIKA MAMLAKA YA KUSIMAMIA UVUVI WA BAHARI KUU (DSFA)
ZIARA YA DR. EDWIN MHEDE, NAIBU KATIBU MKUU (UVUVI) KATIKA MAMLAKA YA KUSIMAMIA UVUVI WA BAHARI KUU (DSFA)
Imewekwa: 12 July, 2024

Naibu Katibu Mkuu (Uvuvi), wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Edwin Mhede, alipotembelea DSFA kukagua shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Mamlaka na kuongea na Menejimenti leo tarehe 12 Julai 2024 - Fumba, Zanzibar