Karibu
Karibu
Karibu kwenye Tovuti ya Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari ya Kuu. Tuna uhakika kwamba tovuti yetu itakupa taarifa za kutosha. Utaona na kujifunza zaidi kuhusu kile tunachohusu, kile tunachofanya, na hadithi zetu za mafanikio. Tovuti hii itakujulisha kuhusu, shirika, shughuli zetu na kutoa taarifa muhimu ambazo unaweza kuhitaji. Furahia ziara yako!