Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Mhe. Shaaban Ali Othman (wa tatu kushoto) akizindua ripoti ya kitaalamu katika kutambua mahitaji ya teknolojia kwenye Sekta ya Uvuvi upande wa Bahari ya Hindi na Kilimo.
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Chapo akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Mkutano wa wadau wa sekta ya uvuvi kuhusu kutoa maoni juu ya andiko la kuiomba Tanzania kuridhia mkataba wa UNFSA 1995
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara na watumishi wa DSFA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikiongozwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdalla Hamis Ulega wakiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa DSFA
Wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa DSFA na ujumbe mbe kutoka Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi.