Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Bi. Agnes Kisaka Meena (katikati) akiwahutubia wajumbe wa Mkutano wa 15 wa Kamati ya Kitaalam ya Vigezo vya Ugawaji (TCAC15) ya Tume ya Tuna ya Bahari ya Hindi (IOTC)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Bi. Agnes Kisaka Meena (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Mkutano wa 15 wa Kamati ya Kitaalam ya Vigezo vya Ugawaji (TCAC15) ya Tume ya Tuna ya Bahari ya Hindi (IOTC)
Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Mhe. Shaaban Ali Othman (wa tatu kushoto) akizindua ripoti ya kitaalamu katika kutambua mahitaji ya teknolojia kwenye Sekta ya Uvuvi upande wa Bahari ya Hindi na Kilimo.
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Chapo akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Mkutano wa wadau wa sekta ya uvuvi kuhusu kutoa maoni juu ya andiko la kuiomba Tanzania kuridhia mkataba wa UNFSA 1995
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara na watumishi wa DSFA