Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Bi. Agnes Meena (katikati) akizindua mpango wa kitaifa wa usimamizi wa samaki aina ya Jodari na mpango wa uhifadhi wa samaki aina ya papa na taa Novemba 21, 2025 alipokuwa akihitimisha kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mvuvi Duniani
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Bi. Agnes Kisaka Meena (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Mkutano wa 15 wa Kamati ya Kitaalam ya Vigezo vya Ugawaji (TCAC15) ya Tume ya Tuna ya Bahari ya Hindi (IOTC)
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Chapo akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Afisa Mkaguzi wa meli za uvuvi wa DSFA bwana Peter Shunula akikagua meli ya uvuvi iliyofunga gati Dar es Salam